Psalms 105:9-10

9 aagano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki.
10 bAlilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:
Copyright information for SwhNEN